New couple in Town ndio naweza kusema kulingana na picha hiyo hapo juu
ambayo inazunguka mtaani huku wengi wakijiuliza maswali kama ni kweli
ama la...? Ikumbukwe Snura alishawahi kuandika na kukiri kuwa kuna
Mwanamuziki mmoja wa Bongo Flava anamzimia kishenzi lakini hakumtaja
jina...Sasa jibu limepatikana baada ya wawili hao kuonyesha picha
wakidendeka bila chenga....
:
Soma Baadhi ya Comment za Mashabiki
:
Soma Baadhi ya Comment za Mashabiki
Post a Comment Blogger Facebook