KIMENUKA tena! Katika kile kinachoonekana kama ni
kejeli kwa shosti wake wa zamani, ambaye sasa picha hazipandi, staa wa
filamu Kajala Masanja, mwishoni mwa wiki iliyopita alimmwagia ‘minoti’
mingi Zarinah Hassan ‘Zari’ wakati wa hafla ya kutimiza siku 40 tangu
kuzaliwa kwa mtoto wake Tiffah.
Ilikuwa ni wakati Zari, alipokuwa akicheza muziki huku akipokea zawadi kutoka kwa waalikwa, ndipo muigizaji huyo, alipotumia zaidi ya dakika 20 kummwagia minoti ya shilingi elfu kumikumi. Baadhi ya watu waliohudhuria shughuli hiyo waliweka kipande cha video ya Kajala akifanya mambo yake kwenye mitandao ya intaneti na mara moja, Wema akakiona.
Sasa mwambieni kabisa kama ni hivyo, aifute mara moja ile tattoo,” alisema kwa kifupi, akionekana kukasirika. Risasi Mchanganyiko lilipomtafuta Kajala na kummegea ‘ubuyu’ huo, naye bila kupepesa macho alitiririka; “Mimi nilienda kumtunza Zari kama waalikwa wengine walivyofanya, kama yeye anaona sikufanya vizuri mimi hainihusu, na kama anaweza kuifuta hii tattoo aje tu aifute, haina shida.”
Mwigizaji Kajala Masanja pamoja na shoga yake wakiwa kwenye shughuli hiyo.
Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwa Diamond, mitaa ya Madale-Tegeta
nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu mbalimbali
maarufu.Ilikuwa ni wakati Zari, alipokuwa akicheza muziki huku akipokea zawadi kutoka kwa waalikwa, ndipo muigizaji huyo, alipotumia zaidi ya dakika 20 kummwagia minoti ya shilingi elfu kumikumi. Baadhi ya watu waliohudhuria shughuli hiyo waliweka kipande cha video ya Kajala akifanya mambo yake kwenye mitandao ya intaneti na mara moja, Wema akakiona.
Zari akiwa na mzazi mwenzake pamoja na mtoto wao.
inadaiwa kuwa kitendo hicho kilimkera na alipowasiliana na gazeti
hili alisema. “Hata kama ni kweli tumegombana, bado yeye hakutakiwa
kufanya vile, ilionekana anataka kunisanifu tu, kama kweli Kajala
anasema kwa watu kila siku kuwa mimi ni rafiki yake na hawezi kuifuta
tattoo yangu aliyojichora, asingeweza kufanya kitu kama hicho.Sasa mwambieni kabisa kama ni hivyo, aifute mara moja ile tattoo,” alisema kwa kifupi, akionekana kukasirika. Risasi Mchanganyiko lilipomtafuta Kajala na kummegea ‘ubuyu’ huo, naye bila kupepesa macho alitiririka; “Mimi nilienda kumtunza Zari kama waalikwa wengine walivyofanya, kama yeye anaona sikufanya vizuri mimi hainihusu, na kama anaweza kuifuta hii tattoo aje tu aifute, haina shida.”
Post a Comment Blogger Facebook