0


MWANZO WA CHOMBEZO…….
JIMAMA MTAA WA PILI.
Jua la utosi wa saa sita lilikuwa likiwaka haswa. Nikiwa nimetulia kwenye kibaraza cha nyumabani nikaona Joto limezidi.
Ilinibidi nitoke kwenda kwenye Grocery iliyopo mtaa wa pili walau nikapate kinywaji baridi.
Nilitembea taratibu nikiwa na head phone za ipod masikioni mwangu.
“piiiiii!!! Piiiiiii!!!”
Gari aina ya Toyota hilux ya rangi ya bluu lilisikika likipiga honi, nilipokuwa nikikatiza kwenye barabara ya mtaa.
Nilisimama kusubiri gari hilo lipite ndipo nivuke barabara hiyo , lakini badala ya kunipita gari hilo lilifunga breki jirani kabisa na niliposimama. kioo cha upande wa dereva kilichokuwa cha tintedi kilifunguliwa na kisha Jimama la nguvu lilionekana likiwa limevalia hereni na cheni za Dhahabu shingoni kwake.
Sikuelewa kwa nini amesimamisha gari lake karibu yangu na wala sikutakakujua sababu.
Nilichokifanya ni kupiga hatua na kujaribu kulikwepa ili niendelee na safari yangu.
“samahani kaka.”
Aliongea mwana mama huyo huku akiwa na tabasamu zito usoni kwake.
‘bila samahani.”
Nilimjibu, na kusimamisha muziki uliokuwa ukicheza kwenye ipad yangu ili nimsikilize shida yake.
“nina shida kidogo.”
“shida gani?”
“nati za kitanda zimelegea , naomba unisaidie kuzikaza.”
“mimi sio Fundi.”
“najua lakini haihitaji fundi, ni kukaza tu na koreo ninayo.”
Ilikuwa vigumu sana kukataa kumsaidia , japo nilisita kwa kuwa nilikuwa simfahamu kabisa na wala sipafahamu anapokaa.
“unakaa wapi?”
Nilimuuliza.
“mtaa wa pili , nyumba yangu ina vigae vyekundu, ni rosheni moja nafikiri unaijua.”
“ndio.”
Niliiitika.
“basi naomba msaada wako nitakupa pesa.”
“aah, usijali.”
Niliongea na bila kusita nilizunguka upande wa pili ili niingie ndani ya gari.
Kila kitu kilibadilika nilipoingia ndani ya gari hilo.
Kwanza ni hali ya hewa iliyokuwa ni ya ubaridi wa AC na pili ni harufu ya nzuri ya manukato aliyokuwa amejipulizia mwana mama huyo.
Lakini yote hayo tisa , kumi ni kivazi alichokivaa. Ni kigauni kifupi kilichoacha mapaja yake yote wazi.
Huku sehemu ya kifua kulikuwa na uwazi uliyofanya sehemu kubwa ya matiti yake yaonekane . iliniwia vigumu kujizuia kuyaangalia maungo hayo yaliyokuwa na kila aina ya vishawishi.
“naitwa Enjol.”
Aliongea huku akiendesha Gari taratibu.
“aaah.”
Niliiitikia huku bado macho yangu yakiwa yameganda kuangalia mapaja yake meupe, nilikwisha jua kwamba mapaja hayo ni laini hata kabla sijayashika.
“wewe unaitwa nani?”
“Alex.”
“nafurahi kukufahamu Alex.”
“hata mimi pia.”
Niliitikia na kisha kumuangalia usoni, sura yake yote ilikuwa imefunikwa na tabasamu zito.
Nilijikuta na mimi natabasamu.
Ukweli ni kwamba sijawahi kukutana na mwamnamke wa aina yake katika mazingira kama hayo.
“wewe si unakaa ule mtaa wa kwanza kwenye nyumba moja yenye chupingi nyeupe?”
“umejuaje?”
“huwa nakuona ukiwa umekaa kwenye kibaraza nikipita na gari.”
“kweli?”
“eeh.”
Aliitikia mrembo huyo huku akitabasamu.
Tayari tulikwisha fika kwenye nyumba yake, mlinzi wa nyumba hiyo alifungua mlango mara baada ya Enjol kupiga honi.
Aliliingiza gari hilo na kulipaki kwenye maegesho ya nyumba hiyo.
Nilishuka nikiwa na swali kichwani kwangu.
“kama ana mlinzi kwa nini asimtumie kufunga nati ya kitanda hicho na badala yake aniite mimi?.”
“karibu ndani Alex.”
Aliongea Enjol akiwa na tabasamu.
“ahsante.”
Niliitikia.
Taratibu alianza kupiga hatua kuelekea ndani.
Mwendo wake peke yake uliziamsha hisia zangu na kunifanya nisisimke mwili mzima.
Alikuwa akitembea kwa mwendo wa taratibu huku makalio yake yakitikisika mithili ya inye ndembe ndembe.
“twende.”
Aliniita baada ya kuona nimesimama kwa muda.
“poa .“
Niliitikia na kumfuata. Sikutaka ajue kwamba nilisimama sababu ya kuyaangalia matako yake yanavyotikisika.
Tuliingia mpaka ndani huku bado mimi nikibaki nyuma nyuma ili niendelee kulifaidi gwede gwede.
“utakunywa kinywaji gani?”
“chochote.”
“hata wine?”
“tena ndio nzuri.”
Alileta red wine na kuimimina kwenye glass.
Ukinywa uje huku chumbani unifungie hiyo nati.
“sawa.’
Niliitikia huku nikipiga fundo taratibu, yeye aliniacha na kuingia chumbani.
Niliendelea kupiga wine taratibu huku nikipulizwa na kiyoyozi.
Nikiwa bado nimeketi sofani nikasikia muziki wa taarabu ukipigwa toka chumbani kwa Enjol.
‘alamba alamba ham, ham.’
Ulisikikamuziki huo ulioimbwa na mzee yusufu wa kundi la jahazi morden taarab.
Muziki huo uliendelea kuvuma nikiwa bado nikiwa nimeshikilia glass ya wine. Kadiri muziki huo ulivyozidi kupamba moto na hata radha ya wine nilianza kuiona sio.
Nilitamani kuona kile ambacho Enjol anakifanya humo chumba ni wakati muziki huo ukilia, kama anacheza nilitamani kumuona jinsi anavyoizungusha nyonga na kuyatikisa matako yake.
Sikutaka kuendelea kukaa kwenye kochi hilo hata kwa sekunde moja zaidi, nililisogeza glasi kinywani na kupiga fundo moja la maana na kisha kuirudisha glasi mezani ikiwa tupu.
Halafu taratibu nikaanza kupiga hatua kuelekea chumbani kwa Enjol.
Sikutaka kupiga hodi kwa kuwa nilitaka kumshtukiza , nilipofungua mlango sauti ilizidi kuongezeka .
Niliingia na kuufunga mlango huo, niliangalia kila kona ya chumba hiicho wala sikuona Enjol ndani ya chumba hicho bali niliiona Koreo iliyokuwa imewekwa juu ya kitanda.
Nilitaka kujiuliza ni wapi Enjol alipoelekea lakini kabla sijafanya hivyo niliisikia sauti yake ikiuitikia wimbo wa mzee yusufu.
‘ham, ham.’
Sikupata tabu kujua mahali ambapo sauti hiyo ilipotokea
‘bafuni’
Dalili zote zilionyesha hivyo , kwanza ni nguo alizokuwa amezivaa zilikuwa chini kwenye sakafu jirani na mlango wa bafuni.
Nilitaka kwenda pale kitandani ili nichukue koreo na kuanza kukaza nati za kitanda lakini ghafla mawazo yangu yalibadilika. Sauti nzuri ya jimama Enjol iliyokuwa ikiuitikia wimbo wa mzee Yusufu , ilikuwa kama vile inaniita.
Taratibu nikajikuta nasogea mpaka kwenye mlango huo.
‘alamba alamba .’ “ham, ham”
Nilisikia sauti hiyo ya enjol ikiimba wimbo huo nilipokuwa nimesimama kwenye mlango wa bafu hilo.
Sikuamini macho angu pale niliposogea mpaka bafuni . ilikuwa kama vile naota. Enjol alikuwa uchi wamnyama, maji ya bomba la mvua yalitiririka kwenye mwili wake, huku akijipapasa maungo yake kwa mikono yake na kucheza taratibu kwa kukata kiuno akiufuatisha mdundo wa taarab ulliokuwa ukisikika.
Macho yake alikuwa ameyafumba huku akiwa amenipa mgongo, alikata viuno kwa staili ya pinda mgongo.
Kwa jinsi alivyokuwa akiyatikisa matako yake alinifanya nisisimke mwili mzima . mashine yangu ilisimama kweli kweli.
Itaendeleaaaa……
KITABU CHA MTOTO WA MTAA PAMOJA NA CHA MUUZA MAZIWA VIPO KATIKA MAANDALIZI YAKE YA MWISHO MWISHO , HIVI KARIBUNI KITAKUWA MTAANI KWA BEI YA SHILINGI ELFU TATU TU YA KITANZANIA, USIKOSE KUPATA NAKALA YAKO.
KAMA UMEIPENDA STORI HII..FANYA KUKITAFUTA KITABU NA KUKINUNUA KUMPA MOYO MWANDISHI

JINA LA MWANDISHI  GIFT KIPAPA
CONTACT ZA MWANDISHI  
WHATSAPP ME ON +255 715 55 71 91
PHONE….. 0757 41 44 36

  LAKINI TAFADHARI NAOMBA USIIKOPI NA KUIBADILISHA KITU CHOCHOTE , AHSANTE SANA.

Post a Comment Blogger

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();
 
Top