Wakati yuko Tanga mkwenye usiku wa vgoma alipew nafasi na MC ili
azungumze machache, pamoja na mengine aliyozungumza nimekwazika sana
jinsi alivyoitamka mtwara eti tukitoka hapa Tanga tunaelekea huko sijui,
MAMI-MTWARA sijui huko kwa wamakonde, hivi bi mdada huyu ni kweli hajui
MTWARA inatamkwaje au ni dharau yake tu kwa wanamtwara? Ukiendelea na
dharau zako hizo show zako za baikoko zitakudodea!
By PACHOTO/JF
By PACHOTO/JF
Post a Comment Blogger Facebook