0
Mange Ameibuka na kutoa neno baada ya Video ya mtoto wa Faiza Ali akiomba Hela kwa Mh Mbunge Sugu kuzagaa mitandaoni...

Amesema haya kupitia ukurasa wake wa Instagram:

"Nilikuwa nachukua break to focus on my weight loss thingy Ila this video had me in tears....... Kwa Sababu tofauti , one this baby has no business being on Instagram crying for money. Atakuja kuwa mkubwa then Watu watamwonyesha hizi video..... Ukiwa Na issue Na mwanaume unaweza kumdhalilisha Kwa njia nyingi mnoooooo bila kumwanika mtoto hivi. Ila somehow naelewa wanaume wanauzi sana unaweza jikuta unafanya hivi Kwa hasira ila kuna njia nyingi mama unaweza kumkomesha mwanaume asiekusaidia malezi especially Kama ni Mbunge. 
Hata yeye tu angeweza kujirekodi akilia hivi kuwa hapewi matumizi na message ingefika vile vile........ .
Kama kuna kitu kimoja nilichojifunza kuzaa na mwanaume ambae siko nae ni kwamba usiongee lolote baya kuhusu baba wa mtoto mbele ya mtoto. It affects them. Acha mtoto ampende baba yake hata kama ni baba mbaya hata kama hakusaidii ila Jitahidi mtoto asijue haimsaidii kitu zaidi ya kumuumiza akiona wenzie wana baba zao yeye baba yake hataki kutuma hela.....
Kama vipi @faizaally_  Ongea openly sugu anakusaidia Au vipi how much etc then tutakusaidia kufikisha ujumbe mjengoni, na hata msaada wa kisheria Ili mtoto apate haki yake.
.
.
Ila pia tusimjudge sana Faiza hizi ni stress mtu unajikuta unafanya vitu Kama hivi.  Especially ukiona mwanaume anauwezo ila hakusaidii. Cha Maana Faiza angeweka Wazi kabisa ni msaada gani anaoupata Kwa Sugu ili watu tumsaidie kupiga kelele. Maana hapa hatuelewi Je ni kwamba hatumi pesa kabisa au labda alituma Kidogo hazikutosha na kusuka nywele..... Ukiamua kuweka mambo wazi weka yote Wazi Ili watu waelewe na wakupe support....." Mange Kimambi

Post a Comment Blogger

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();
 
Top