Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu lakini niwashukuru Wananchi wa wiliaya ya Kinondoni wamenionesha upendo ambao sikutarajia kwao, la pili sikubahatika kulishika gurumo hili la kuwa kiongozi na sitaweza kukata tamaa kwasababu hivi vitu vinahitajika uvumilivu kidogo, siasa inahitaji kuwa mvumilivu na kila kitu kinachofanywa kama mwanadamu kinachotaka kupigiwa kura au kutafuta maisha ni uvumilivu unaohitajika kusonga mbele’ – Steve Nyerere
‘Kwasasa nipo kidogo mapumziko nikitafakari kuna yale niliyoyafanya na changamoto nilizozipata katika uchanguzi huo nimejifunza mambo mengi mengi ambayo kwangu yanatija kwa hiiyo kwangu ni changamoto kubwa sana’ – Steve Nyerere
Post a Comment Blogger Facebook