Saturday, July 11, 2015

Okwi Asaini Miaka 5 Sonderjysk,Wamlipa Dola 10,000 Kwa Mwezi=milioni 22 za kibongo


Aliyekuwa Mshambuliaji wa Simba Emanuel Okwi ambaye sasa atakipiga katika kwablu ya Sonderjysk ya Denmark
Mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi amelamba donge nono la miaka mitano kuichezea Sonderjysk  FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Denmark.
Okwi sasa atakuwa analipwa dola za Kimarekani 10,000 kwa mwezi, akipatiwa nyumba, usafiri na huduma nyingine zote muhimu Denmark.
Tovuti ya klabu hiyo imethibitisha habari hizi

No comments:

Post a Comment

Post Labels

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();