Baada ya kupata matokeo mabovu juma lililopita dhidi ya changchun Yatai. Na kukosa nafasi ya kuongoza ligi kuu ya China. Juma hili wanaingia uwanja wakiwa na mastaa wao (Hulk na Wu Lei) pamoja na Kocha mkuu Andre-Villas Boas ambao walikuwa wamefungiwa mechi mbili kila mmoja
Wata kuwa wageni wa Yanbian Wanaoshikilia mkia wa Ligi kuu ya China na wakiwa na lengo la kushinda na Kuongoza ligiYanbian wamekuwa na kiwango kibovu msimu huu
Wakiwa wamekosa ushindi katika ligi kuu kwenye mechi 9 zilizopita
Hapa watawakaribisha Shanghai SIPG katika uwanja wao wa nyumbani PEOPLE'S STADIUM
Hapa naona Shanghai SIPG wakipata ushindi wa zaidi ya Goli 2 na kushika na kuongoza Ligi hiyo
Mechi itachezwa jumamosi
Majira ya 10:30 asubuhi kwa huku kwetu
Ubashiri
Shanghai SIPG
Asian handicap 1.0
Odds 1.96 @meridianbet
Matokeo:
Yanbian 1-3 Shanghai SIPG
Mkeka umeshinda..
Post a Comment Blogger Facebook