Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Ubungo
Mhe. John Mnyika alipowasili kujiunga na familia na waombolezaji katika
msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini
Dar es salaam jana Jumamosi Julai 18, 2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitambulishwa kwa Katibu wa
bendi ya TOT, Gasper Tumaini, ambako marehemu Banza Stone aliwahi
kufanya kazi enzi za uhai wake.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji mama mzazi wa
marehemu katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone"
Sinza Lion jijini Dar es salaam jana Jumamosi Julai 18, 2015.
Post a Comment Blogger Facebook