Kivuko cha MV Magogoni baada ya kupakia abiria na magari upande wa Kigamboni kilifanikiwa kutoka na kilipofika jirani na gati upande wa Magogoni kilipoteza mwelekeo kwa dakika kadhaa ila baadaye kilifanikiwa kushusha
MV KIGAMBONI LAPOTEZA MWELEKEO UPANDE WA KIGAMBONI
Kivuko cha MV Magogoni baada ya kupakia abiria na magari upande wa Kigamboni kilifanikiwa kutoka na kilipofika jirani na gati upande wa Magogoni kilipoteza mwelekeo kwa dakika kadhaa ila baadaye kilifanikiwa kushusha
Post a Comment Blogger Facebook