Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe
Magufuli akilakiwa na Wanaccm na Wananchi wa Mkoa wa Geita, Wakati
aliposimama kuwasalimia akitokea jijini Mwanza kuelekea Kijijini kwake
Chato. Hapa ni Kivukoni Busisi Mkoani hapo, mapema asubuhi ya leo.Mgombea Urais alieteuliwa na Chama chaMapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya Wanaccm
na Wananchi wa Mkoa wa Geita, mara baada ya kuwasili mapema leo asubuhi
Post a Comment Blogger Facebook