JF Jana Wali- tweet kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa au TAKUKURU kwa kifupi imesema kuwa mtu kurudisha hela aliyopewa iliyotokana na ufisadi au utakatishaji pesa hakumuondoi kwenye mashitaka.
Mnakumbuka jana Ngeleja alirudisha hela aliyopewa na Rugemalira kwa madai kwamba hakujua kuwa hela hiyo inatokana na ufisadi.
TAKUKURU imesema mtu kurudisha fedha za escrow sio kigezo cha kujitoa kwenye tuhuma— Jamii Forums (@JamiiForums) July 11, 2017
- Yasisitiza kuwa sheria itachukua mkondo wake #JFLeo
Post a Comment Blogger Facebook