Mgombea wa Urais wa Marekani, Bi. Hillary Clinton anatibiwa ugonjwa wa
pneumonia, madaktari wake wamesema baada ya kuzidiwa wakati wa sherehe
za kumbukumbu ya 9/11.
Video imemuonesha, Clinton, 68 akianguka na kudakwa na walinzi wake na kuondolewa kwenye eneo la kumbukumbu ta majengo ya World Trade Center kwa gari maalumu.
Dr Lisa Bardack alidai kuwa mgombea huyo alipewa antibiotics, lakini alipungukiwa maji kwenye hafla hiyo ya New York.

Post a Comment Blogger Facebook