0
Model aliyeonekana kwenye video ya wimbo wa Alikiba na Christian Bella, ‘Nagharamia’, Tanasha Oketch maarufu kama Zahara Zaire, amesema tangu video hiyo itoke, amepata mashabiki wengi Tanzania.
13269388_853717044772022_1165231393_n
Akiongea na Bongo5, Zahara amedai kuwa video hiyo imempa exposure kubwa. “Hasahasa hapa Tanzania, most of fans zangu ni watu kutoka Tanzania I can say, on Instagram,” amesema. “Tanzanians wako loyal tunaweza sema hivyo, Kenyans wako na pride nyingi sana, Tanzanians mko open minded.”
14145472_315451352140419_1090839588_n
Zahara pia amedai kuwa kuna wasanii wengi pia wa Tanzania ambao wangependa kufanya naye kazi. Kwa upande mwingine mrembo huyo amedai kuwa hivi karibuni atazindua brand ya nywele zake ‘For Her Lovely Wigs.’

Post a Comment Blogger

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();
 
Top