Baada ya mashabiki kuisubiria kwa hamu collabo ya kwanza ya label
mates wa Rockstar4000, Barakah Da Prince na Alikiba, sasa imethibitishwa
kuwa wimbo wao ‘Nisamehe’ utaachiwa Jumanne, Septemba 13.
Tarehe hiyo imethibitishwa na Barakah kupitia Twitter.
Video ya ngoma yao ilifanyika wiki kadhaa zilizopita nchini Afrika Kusini.
Tarehe hiyo imethibitishwa na Barakah kupitia Twitter.
Video ya ngoma yao ilifanyika wiki kadhaa zilizopita nchini Afrika Kusini.
Post a Comment Blogger Facebook