0
Mama Tiffah ameendelea kula good time na mpenzi wake Diamond Platnumz huku akitupa vijembe kizani kwa wanawake wanaopenda kunyakuwa waume za watu.
zari-the-bosslady
Zari ambaye kwa sasa ana mimba ya Diamond, ameonyesha kuchukizwa na baadhi ya watu ambao wanamendea waume za watu.
“Watu na bae zetu, nyaku nyaku can’t even post their own. Told you, if he can’t claim you in public, don’t give him the good good in private. U know what that means right & I bet u know where that leaves you. Tag your bae and wish him or her a good night. #ToWhomItMayConcern,” aliandika Zari instagram katika picha ambayo yupo na Diamond.
Katika post nyingine aliongeza, “Dunia hii kwa kuwa hatuijui kesho, inabidi tujifunze kuheshimu watu ambao pamoja nasi. Watu ambao wapo tayari kusimama kwaajili yetu kwa lolote lile. Natukaacha kuwapa kupaumbele watu ambao ni wapita njia (wa kupita njia) tu katika maisha yetu, au ambao wamekuwepo lakini hawajawahi kuchangia au kuwa na msaada wowote kwenye mafanikio yetu,

Post a Comment Blogger

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();
 
Top