Diamond Platnumz anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya wiki hii. kupitia ukurasa wake wa twitter aliandika haya...
video hiyo ambayo ameshirikiana na AKA yule aliye imba na Joh Makini katika dont bother MTV base wamethibitisha kupitia ukurasa wa twitter kuirusha video hiyo Ijumaa hii..Kaa karibu na Social Media na Tv zako... Ndani ya Wiki Hii Nakudondoshea Video Mpya...🔥💣 #SimbaKasema— Chibu Dangote (@diamondplatnumz) February 9, 2016
Wakati huo huo Diamond na mashabiki wake wote wa WCB wamebadilisha profile picture zao na kuweka rangi nyekundu. Haijulikani inamaanisha nini lakini wanatukumbusha jinsi Tidal ya Jay Z ilivyozinduliwa na mastaa wakubwa wakiwemo Nicki Minaj, Beyonce, Usher na wengine kuweka picha za rangi ya blue bahari.#FirstOnBase | Stay ready! This Friday we drop @akaworldwide and @DiamondPlatnumz's new music video for #MakeMeSing! pic.twitter.com/JoJO9RDBgT— MTV Base Africa (@MTVbaseAfrica) February 10, 2016

Post a Comment Blogger Facebook