Kocha wa Yanga Hans Van Pluijm |
Kocha huyo ametoa kauli hiyo mapema leo wakati timu hiyo ikifanya mazoezi katika uwanja wa karume jijini Dar es Salaam ambapo amesisitiza kuipa nafasi timu kuonyesha kandanda safi.
“Kikosi kipo poa sana na tuanaamini ni kikosi bora katika michuano ya kagame,”amesema Pluijm
Post a Comment Blogger Facebook