Ajali imetokea barabara ya kwenda Urambo eneo la Mororo,Tabora ikihusisha treni na basi la abiria.
Inasemekana kuna watu wamepoteza maisha kwenye eneo la tukio baada
ya gari la abiria kugongana na treni la mizigo, watu waliofariki bado
hajafahamika idadi yao kamili waliotambuliwa ni wawili mmoja ni Samweli
mkazi wa kata ya Ufuruma wilayani Uyui na Mwingine ni Issa.
Post a Comment Blogger Facebook