
Majina ya walioteuliwa kugombea ubunge wa majimbo na uwakilishi wa viti
maalum kupitia CCM katika majimbo yote Tanzania yametoka rasmi , yupo
Iddi Azzan anagombea Jimbo la Kinondoni, Prof. Anna Tibaijuka anagombea
jimbo la Muleba Kusini.
Nape Nnauye anagombea jimbo la Mtama., Nimrod Mkono anagombea jimbo la
Butiama, Ndugu Ridhiwani Kikwete anagombea Chalinze na Job Ndugai
ameteuliwa kugombea Kongwa.
Post a Comment Blogger Facebook
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.