Wachezaji wa soka wa kimataifa, Mbwana Samatta anayechezea klabu ya Ubelgiji, KRC Genk na Mkenya, Victor Wanyama anayekipiga na Tottenham Hotspur wameungana na wananchi wengine kuwapa pole wahanga wa tetemeko la ardhi, lilitokea hivi karibuni huko Kagera na Mwanza.
Tetemeko hilo lililokuwa na ukubwa wa 5.7 kipimo cha Ritcher, lilisababisha vifo vya zaidi ya watu 15, kujeruhi, na kuwaacha mamia bila sehemu za kuishi.
Samatta na Wanyama wametoa pole hizo kupitia mtandao wa Twitter.

Post a Comment Blogger Facebook