Msanii wa muziki wa Pop Marekani, Lady Gaga ameshangaza watu kutokana na kivazi cxhake alichovaa kwenye maonesho ya mavazi ya New York Fashion Week show, Jumanne hii.
Msanii huyo ni mmoja kati ya mastaa wanaoongoza kwa kuvaa mavazi yanayoonyesha maumbile yao hasa mavazi maarufu kwa jina la GURU ambayo ameonekana kuyapendelea zaidi kuyavaa mara kwa mara.
Lady Gaga akiwa na Naomi Campbell kwenye NYFW
Tamasha hilo pia lilihudhuriwa na mastaa wengine wengi akiwemo mwanamitindo maarufu Naomi Campbell, Jussie Smollett, Brandon Maxwell, Stephen Gan, Inez van Lamsweerde na wengine wengi.
Tazama picha zaidi hapa chini.
Lady Gaga akiwa na Stephen Gan pamoja na Inez van Lamsweerde

Post a Comment Blogger Facebook