Friday, January 22, 2016

NI KWELI KAMA WEWE UNAKIGANJA CHENYE MCHORO WA HERUFI 'M' TARAJIA HAYA MAKUBWA YA HARAKA

HERUFI ''M'' INA ASHIRIA WEWE MTU WA BAHATI KUBWA UNAWEZA KUWA NA PESA NYINGI AU KUWA KIONGOZI MKUU KATIKA MAMBO YA SIASA AU KUWA WEWE MTU MWENYE AFYA NZURI, AU KUWA NI MWANASHERIA AU HAKIMU AU KUWA MTU MAARUFU SANA. HERUFI ''M'' KWENYE KIGANJA CHAKO CHA MKONO WA KULIA INA ASHIRIA MAMBO MAZURI YA MAISHA YAKO YA BAADAE UTAFANIKIWA JITAHIDI KUFANYA KAZI

No comments:

Post a Comment

Post Labels

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();