https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=796061370179622152#editor/target=post;postID=4474207417823029533BAADA ya kufunga rasmi ndoa ya kimila nchini Naija,
staa wa filamu mwenye vituko, Tonto Dikeh amefunguka kuwa pete
aliyovishwa na mchumba wake, Mr. X, Oladunni kwenye harusi yake ina
gharama ya shilingi milioni 20Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Tonto alitupia picha ya pete hiyo na
kuambatanisha na maneno yaliyosomeka; “Mungu amebariki ndoa hii takatifu
imetimia, utambulisho umetimia, posa imetimia na ndoa ya kimila
imetimia na sasa hivi ni ndoa kubwa.”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
.disqus.com/recent_comments_widget.js?num_items=4&avatar_size=32&excerpt_length=100&hide_mods=0">
Post a Comment Blogger Facebook