Rapper na producer wa muziki toka Marekani, Swizz Beatz ni kama midundo
ya Afrika ameanza kuikubali sana sasahivi.. kuna siku alipost yeye
pamoja na mpenzi wake, Alicia Keys vipisi vya video wakienjoy midundo ya
kwenye album ya staa wa Muziki toka Nigeria, Wizkid.
Muda mfupi uliopita jamaa kapost tena kipande cha video ya mtoto wake akiwa anacheza wimbo wa Diamond Platnumz, ‘Nana’ Feat. Mr. Flavour… kwenye post hiyo Swizz ameandika >>> “Vibes ���� song by@diamondplatnumz #goodvibes” >>> @therealswizzzjavascript:;

Post a Comment Blogger Facebook