Kuonyesha kwamba yuko fiti ana anastahili kupewa ridhaa ya
kuiongoza Tanzania katika awamu ya kipindi cha tano,Dkt John Pombe
Magufuli aliwashangaza wananchi wa mji huo kwa kupiga push up zaidi ya
tano jukwaani,mbele ya wakazi wa mji huo ambao walishangilia na kupiga
mayowe kila kona ya Uwanja.Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia
wananchi katika viwanja vya Kayanga,Karagwe mjini kwenye mkutano wa
hadhara wa kampeni.Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia
wananchi katika viwanja vya Mashujaa mjini Misenyi kwenye mkutano wa
hadhara wa kampeni.wakazi wa mji wa Misenyi katika viwanja vya mashujaa
wakishangilia mara huku wakiendelea kumsikiliza mgombea Urais wa CCM Dkt
John Pombe Magufuli.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
.disqus.com/recent_comments_widget.js?num_items=4&avatar_size=32&excerpt_length=100&hide_mods=0">
Post a Comment Blogger Facebook