
Aunt amesema kuwa hata kama huko alipo
wakishindwa atakubali matokeo kwa kuwa lazima katika mchezo kuna upande
utashinda na mwingine utashindwa hivyo atakubali yote.
“Ninachojua
mwisho wa siku lazima kuna mshindi na mshindwa hivyo nakubali yote kwa
sababu nampenda Lowassa na sijawahi kutamka kuwa mimi ni CCM kwa kuwa
sijazaliwa kwenye chama hicho, nimezaliwa kijijini kwetu Kisarawe "alisema Aunt kwa jazba.

Post a Comment Blogger Facebook