0
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEqicm1ofP-BVkX4A0g1vkiQGmjToW0MjaEuxmhJxooTK6hMu28uYyAkG30mdcmlkt0WfoAlbFTjOZkMas9-GYHLdr5jPH0FGgUivnvy2f0TISzVi7MoWfhdU7F35dvA2MgkiioQyTpo8/s1600/MMGL0876.jpgNiwengi wanamaswali juu ya idadi kubwa ya watu ambayo UKAWA imejipatia kwa mda mfupi. nimejaribu kufanya kupata majibu ya hili swali, Tafadhali endelea nami.

Watu wengi walimuhusisha Edward Lowasa na idadi hiyo, kiukweli sikubaliani nao kwa upande mmoja. Ukifanya tafiti kwa idadi ya watu ambayo lowasa alikua nao wakati anatangaza nia na kuomba ridhaa ya kugombea kwa kupitia chama cha CCM, idadi ilikua ndogo sana na kuna Baadhi ya maeneo ambayo vyama vya upinzani vilikua vimeyateka kisiasa alipata idadi ndogo sana ya watu.
Sina maana kwamba Lowasa hana watu wanaomfata ila sio idadi kubwa kama inavyotajwa,
NINI KINACHOMTOFAUTISHA LOWASA WA CCM NA WA UKAWA.
Ni wazi kua upepo juu ya siasa ya Tanzania umekua na ni vyema pale ambapo nguvu ya chama kimoja inapopotea, Edward lowasa wa CCM alikua na watu wengi ambao walikua hawana ile nguvu ya kupambana kwa ajili ya mafanikio maana imani haikua kubwa sana sawa na ya sahivi.
Lowasa tunaemuona UKAWA ni mtu ambae anataka kwenda ikulu na watu wanaomfata sio kwamba wanamfata ili aende ikulu wanamfata ili waiondoe CCM,
kwa kumalizia; wananchi wanahasira na CCM kutokana na ugumu wa maisha walionao, kikubwa tuiombee amani nchi yetu ili kama kuna mabadiliko yaje kwa amani,
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi2FMK2-8pe6HJD4pYCuevcmBQhSuglMkWfx9JpaIDwsXEGNOz0NACV3MOM321ibztnR4uEgFx6ZepG-pp44K8tV0Goy39HJeQA9xiP-RWsnLO2J9Fww-8DTkOs3cZVRxUH3EIeD5JM7Ss/s1600/MMGL1323.jpg
Endelea nami sehemu ya pili ambapo tutazungumzia Chanzo cha hasira za wananchi na kukimbilia UKAWA 
na Kalinga l

Post a Comment Blogger

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();
 
Top