
Sababu ambazo zimefanya Ukawa kutozindua kampeni kama ilivyotarajiwa leo ni kama zifuatavyo:-
1.Maandalizi ya kuandaa kikosi cha kumnadi mgombea yanamalizwa leo
2. Kumaliza mgogoro wa majimbo yaliobaki kutokana na sintofahamu iliyotokea
3. Kuuzima upepo wa magufuli utakaovuma kesho
4. Kuandaa hoja nzito zakujibu baada ya matarumbeta ya ccm yatakayoropoka kesho
5. Kutafuta uwanja wa kampeni utakaokidhi haja
6. Viongozi wa chama wamikoani na wabunge bado hawajawasili Dar kutokana na urudishaji wa fomu za ubunge jana.
Kesho tarumbeta zitaropoka
ReplyDeletetena ni siku nzuri kuliko leo
ReplyDelete