WIZKID apiga collabo na DRAKE

Siku chache zilizopita kulikua na taarifa za staa wa Nigeria Wizkid kufanya remix ya ngoma yake ya ‘
Ojuelegba’ na staa wa muziki Marekani Drake.
Wawili hao wameungana pamoja na kutuletea collabo ya wimbo huo.
sikiliza nyimbo hii hapa chini
No comments:
Post a Comment