video imepatikana ikionyesho maafisaa hao wakiitoa tuzo hiyo kwenye jukwaa mara baada ya mechi kuyisha huku timu ya tauifa ya Chile ikiifunga timu ya Argentina kwa mikwaju ya penati na kuchukua ubingwa huo..
mchezaji huyo wa Barcelona alishindwa kufanikiwa katika mashindano haya ingawa timu yake ya taifa ilitinga fainali.
mchezaji huyo kafunga gori moja alililipata thidi ya paraguay ambapo timu yake ilitoka suluhu ya gori mbili mbili.
mchezaji huyo amekua akikosolewa kwa kushindwa kuisaidia timu yake ya taifa sawa na ambavyo anafanya akiwa kwenye klabu yake ya Barcelona
Post a Comment Blogger Facebook