Vanessa Mdee na Diamond Watajwa Kuwania Tuzo za African Entertainment za Marekani
Diamond ametajwa kuwania vipengele viwili cha kwanza kikiwa ni Hottest Male Single of the Year ambapo wimbo wake ‘Ntampata Wapi’ unashindana na Aye wa Davido, Original wa Fally Ipupa, Get Low wa Dellon Francis na Lobi wa R2bees.
Tuzo nyingi anayowania ni ya
Best Male Artist of the Year anayoshindana na Fally Ipupa, Eddy Kenzo, Wizkid na Sarkodie.
Vanessa anawania tuzo ya Best Female Artists of the Year akishindana na Victoria Kimani, Yemi Alade na Bucie.
Mwisho wa kupiga kura ni August 30 na tuzo zitatolewa October 31.
sukari ya bongo Diamond Plutnumz |
Tuzo nyingi anayowania ni ya
Best Male Artist of the Year anayoshindana na Fally Ipupa, Eddy Kenzo, Wizkid na Sarkodie.
Vanessa anawania tuzo ya Best Female Artists of the Year akishindana na Victoria Kimani, Yemi Alade na Bucie.
Mwisho wa kupiga kura ni August 30 na tuzo zitatolewa October 31.
Post a Comment Blogger Facebook