0
STORY:NILIPOONJA UTAMU WA VANILA-10
AUTHOR: DAVID CHICHARITO KAGAWA
PUBLISHER:MIMI MJANJA
*****************
Mlango uliendelea kusikika ukigongwa huku mgongaji akiita Stella stella fungua mlango.ilibidi Stella atoe mkono upec chini ya suali yangu na kwenda kufungua mlango .kumbe alikuwa Irine akiwa anarudi toka shule
"vuunyuu alisonya stella kumbe ww "
"sasa ww ulizan nan "aliuliza irine
stella hakumjibu kitu alirudi ndan na kunipita pale kwenye kochi kama hanijui
"waooo sweet "aliongea irine huku akinikimbilia na kunikumbatia na kunitia mabusu
nami nilimkumbatia huku macho yangu yakigongana na Stella aliyekuwa amenuna ile mbaya
tuliongea na irine story za shule mwao huku akiwa ananilisha chakula wakati huo muda wote Stella yy alikuwa amenuna
Ilinibidi niage nakuondoka
"ok dr msalimie baba ila jua jumamos nilikuwa nakuomba uje nyumban ....alisema Irine
"sawa ....nilimjibu na kutoka njee
ile kufika ghetin uso kwa uso nikakutana na stella alinivuta shati na kunibana ghetin
"sikia davie kesho nataka na uje mapema bora hvyo nampa habar baba ...aliongea stella huku akinibusu mdomon
"sawa nilimjibu na kutoka mikonon mwake
nilitoka nje na kuondoka kwa ilikuwa mida yasaa 10 ilibidi niende uwanjan kuangalia mpira
japokuwa nilikuwa na kipaji cha kucheza mpira na kuzichezea timu za Dar kama Sigara kids na Tesa lkn huku Morogoro si kuonyeshakipaji changu kwa kujiunga na timu yoyote
ilipofika mida ya saa 12 nirudi nyumban na kumkuta dada vero akiwa jikon anapika hakunichangamki ­a kwa kuwa baba siku hyo alikuwepo
nilimsalimia baba na kuingia chumban mwangu .nilikaa chumban na kutoka seburenmuda wa saa 3 :45 kwa ajili kuchek mech ya robo kati ya MAN UTD NA MADRID
niliangalia mech lkn niliudhunika kvokana na kupokea kipigo cha 3 kwa 1 kutoka kwa madrid ilikuwa mwaka 2 003
nilienda kulala ,kesho asubuh na mapema nilianka kuwai shule hali ya hewa ya mji wa morogoro ilikuwa baridi sana .nilifika shule vipind vikaanza na siku hiyo judith alikuwa amechelewa
Mwalimu wa hisabat aliingia nakuanza kukagua kazi yake
"david na judith ndio wa kina nan
"mm hapa niliitika mara kidogo na judith naye akaingia
nifuaten ,Tulimfuata hadi ofis mwake.tulipofika ofisi alimrudisha Judith daras na kubaki na mm
"haya na ww nifute huku
nilimfuata mpaka nyumban mwake maana alikuwa anakaa kwenye nyumba za shule.alikuwa msichana ambaye hajaolewa n alikuwa mwaka wake wa kwanza k tk kaz
tulipofika aliingia chumban mwake na kutokaakiwa amejifunga kanga moja
"eeeh nieleze kwann mmefanya swal moja....aliniuliza mwalimu jack
kwa kuwa nilikuwa na hofu nilishndwa kumjibu
mwalimu alinyanyuka na kwenda kuwasha tv.mara kanga ikamwanguka na kubaki kama alivyozaliwa ....

Post a Comment Blogger

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();
 
Top