
klabu ya manchester city ilifanikiwa kupata gori nne kipindi cha kwanza na kupata gori nyingine nne kwenye kipindi cha pili
Aleksandar Kolarov na David Silva nao wamefunga gori mbili Marcos Lopes na Jose Pozo wakakamilisha ushindi huo. Gori la vietnam limefungwa na an Queyet
Post a Comment Blogger Facebook