0
Bernard Membe akanusha taarifa zilizoenea za mtu mmoja kukutwa na pesa kwenye mabegi na kushutumiwa ni Mtu wa Membe anagawa pesa kwa Wajumbe wa NEC
Mh Bernard Membe ameyakanusha hayo kupitia Account yake ya Twitter



UDAKU/TETESI
Inasadikika huyo Huyo Mburushi ni mtumishi wa Caspian ya Rostam Aziz. .. wanaonekana pichani wamo Fadhili Ngajiro; Ole Porokwa; Omar Ng'wanang'wala na hapo ni hotelini St Gasper kambi ya Lowassa ambapo Leo waliwaita wajumbe kuwapa pesa wasusie NEC ama kufanya fujo na plan B awe Magufuli. Same place Kingunge alifanya press
KUNA UWEZEKANO TUKIO LIKAWA LIMEPANGWA NA TEAM LOWASSA

Post a Comment Blogger

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();
 
Top