Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya
inaendelea tena hii leo kwa timu zile zinacheza round ya kwanza ambapo
Dila Gori ya Geogia itakuwa na kibarua kigumu itakapoumana vikali na
Partizan Belgrade ya Serbia.
Huku FC Pyunik ya Armenia ikikutana uso kwa uso na Molde ya Norway.Milsami ya Boldova itapimana nguvu na Ludo Bulgaria.
Mechi nyingine za Klabu Bingwa barani Ulaya hapa chini
Post a Comment Blogger Facebook