Katika Mkutano wa Lowassa Huku Arusha wa Kutangaza nia ya Urais
Mchungaji Askofu Gwajima wa Kanisa la Ufufuo alikuwa mmoja wa Watu
waliopewa nafasi ya kuongea..Askofu Gwajima Alipopewa Kipaza Sauti
aliwabeza watu wanaomchukua Lowassa na Kudai Wanaokerwa Wakale Malimao
Kwani Lowassa ndio Joshua wa Kuwavusha Watanzania Katika Nchi ya Ahadi
...
Sasa watu mbali mbali wanamuuliza YAKO WAPI MALIMAO ULIYOSEMA?
Angalia Video Hapa Akitoa Vijembe Vyake vya Kula Malimao.......
Sasa watu mbali mbali wanamuuliza YAKO WAPI MALIMAO ULIYOSEMA?
Angalia Video Hapa Akitoa Vijembe Vyake vya Kula Malimao.......
Post a Comment Blogger Facebook