Wema Sepetu alikuwa miongoni mwa watu wanaogombea Ubunge viti maalumu
mkoani Singida lakini matokeo yalivyotoka hakupata ushindi kutokana na
uchache wa kura lakini pamoja na hayo mashabiki wake walimuunga mkono
kwa kuthubutu kwake na kumfanyia mapokezi haya Dar es salaam.
Staa huyo aliibuka na kupata kura za maoni za ubunge 90 huku wagombea
wenza wakiongoza kwa kura za maoni, Asharose Mattembe (311), Martha
Mlata ( 235) na Diana Chilolo (182).https://www.blogger.com/blogger.g?blogID=796061370179622152#editor/target=post;postID=8394632899335087318
Post a Comment Blogger Facebook