0
Katibu uenezi Ccm Nape Nauye amesema leo kuwa hakuna nafasi ya kukuta rufaa mara mgombea akatwapo jina kwani katiba ya ccm haisemi hivyo. Ameendelea kusema kuwa maamuzi ya vikao vyote huwa hayahojiwi popote hivyo kutompa nafasi mgombea yeyote kukata rufaa. Vilevile amesema ccm watatoka wamoja baada ya vikao vya uteuzi na hakuna fujo itakayotokea kwani vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko teyari kukabiliana na rabsha yoyote itakayotokea.

Post a Comment Blogger

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();
 
Top