0
  
klabu ya juventus imetangaza rasmi kuondoka kwa kiungo wao Andrea pirlo na kujiunga na klanu ya New York City. kiungo huyu atajiunga na baadhi ya wachezaji wakubwa hiyo kama Frank lampard na David villa.
Mchezaji huyo ambae amezichezea timu kubwa mbali mbali Italia zikiwemo Ac millan na Inter millan huku akichukua kombe la ligi kuu ya italia mara sita. Uefa champions league mara mbili na  kombe la dunia mwaka 2006

Post a Comment Blogger

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();
 
Top