Taarifa kutoka mkoani Dodoma zinasema zaidi. Abiria zaidi ya 20
wamefariki dunia usiku huu, huku zaidi ya abiria 38 wakijeruhiwa vibaya
baada ya basi la kampuni ya SIMIYU EXPRESS walilokua wakisafiria kutoka
Mwanza kwenda DSM kupasuka tairi na kuacha njia na kugonga mbuyu na
kisha kupinduka.
Taarifa zinasema ajali hiyo ni mbaya sana kuwahi kutokea mkoani Dodoma, hadi hivi sasa bado kuna miili haijatolewa kwenye mabaki ya basi hilo kutokana na kuharibika vibaya na kubaki mithili ya nyama.
MWENYEZI MUNGU AZILAZE MAHALA PEMA PEPONI ROHO ZA MAREHEMU NA KUWAPA NGUVU FAMILIA ZOTE ZA MAREHEMU AMEEN

Post a Comment Blogger Facebook