Hali ya mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon na nahodha wa
timu hiyo, Rigobert Song imedaiwa kuendelea vizuri baada ya kukimbizwa
hospitali ya mjini Yaounde Jumapili hii baada ya kuugua ghafla na
kuanguka wakati akiwa nyumbani kwake huko Odza. Alishambuliwa na
kiharusi.

Song alikuwa akitumia mashine za kupumulia tangu siku aliyofikishwa hospitalini hapo lakini kwa sasa kwa mujibu wa taarifa ya daktari Louis Joss Bitang imesema kuwa hali ya mchezaji huyo inaendelea vizuri kwakuwa hapumulii mashine kwa sasa na amepelekwa nchini Ufaransa kwa ajili ya kupata matibabu zaidi.
“He has come out of his coma and the oxygen has been disconnected. His high blood pressure has returned to normal and the cerebral haemorrhage has been controlled. A medical aircraft will be in Cameroon in (Tuesday) he morning, we will have a working session with the French team and then he will be flown to France,” amesema daktari Bitang.
Song amewahi kuichezea Cameroon jumla ya mechi 137 na kufunga magoli 5 na aliwahi kuchezea timu ya Liverpool na West Ham United lakini pia aliwahi kuifundisha timu ya taifa ya Chad mwaka 2015.

Post a Comment Blogger Facebook