Beki wa klabu ya Manchester United, Phil Jones anatarajiwa kuwa nje
ya uwanja kwa muda wa mwezi mmoja kutokana na matatizo ya goti
aliyoyapata akiwa mazoezini.
Kocha wa timu hiyo Jose Mourinho amethibitisha kuhusu tatizo hilo na kusema kuwa uchunguzi unaendelea.
Jones amekuwa akiandamwa na majeraha ya mara kwa mara na ni mchezaji ambaye amekuwa na uwezo wa kucheza kama beki wa kati, pembeni na mara kadhaa kama kiungo mkabaji.

Post a Comment Blogger Facebook