Serikali kamwe haiwezi kujivua lawama ya ujangili sababu ya tokomeza. Ile ni operesheni tu . Serikali inapaswa KUTAWALA wakati WOTE
— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) January 31, 2016
Wengine wenu tunajua kuwa taarifa ya Bunge kuhusu tokomeza ilikuwa na habari za kupikwa. Kuna makosa tulifanya Kwa kuamua based on untruths
— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) January 31, 2016
Kwamba ujangili unaendelea Kwa sababu tokomeza ilizuiwa na wabunge kufuatia taarifa za kutesa wananchi ni hoja isiyo na mashiko kabisa
— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) January 31, 2016
Ilikuwa ni wajibu wa Serikali kurekebisha makosa yaliyotokea na kuendelea na wajibu wake wa kulinda Mali asili yetu
— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) January 31, 2016
Waziri @KKagasheki alijiuzulu kufuatia vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binaadam vilivyofanywa na Askari walioendesha TOKOMEZA
— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) January 31, 2016
Post a Comment Blogger Facebook