Mgombea Urais wa ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwasili katika viwanja vya
Afisi ya Tume ya Uchaguzi ziliko katika hoteli ya Bwawani Zanzibar kwa
ajili ya kurejesha famu yake ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama
cha ACT. Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwa na mkoba wake wa fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar
akishindikizwa na Viongozi wa Chama hicho wakiwasili katika Afisi za
Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC bwawani Zanzibar. Mgombea
Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwa na
Viongozi wa Chama hicho wakati wa kurejesha Fomu ya Kugombea Urais wa
Zanzibar. Wanachama
wa Chama cha ACT wakiwa katika ukumbi wa Tume wakimshindikiza Mgombea
wao wa Urais wa Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
.disqus.com/recent_comments_widget.js?num_items=4&avatar_size=32&excerpt_length=100&hide_mods=0">
Post a Comment Blogger Facebook