Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli
akikimbia kuonesha ukakamavu kwenda jukwaani kujinadi wakati wa mkutano
wa kampemi katika Uwanja wa Taifa mjini Ifakara wilayani Kilombero, Mkoa
wa Morogoro jana.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mjini Ifakara, wilayani Kilombero, Morogoro. Dk Magufuli jana alifanya pia kampeni katika wilaya za Ulanga na Malinyi. Akihutubia
kwa nyakati tofauti katika Wilaya za Ulanga, Malinyi na Kilombero, Dk
Magufuli amesema kuwa akipta ushindi atawanyang'anya ardhi vigogo wote
waliojilimbikizia ardhi bila kujiendeleza na kuigawa kwa wakulima na
wafugaji nchini
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli
akijinadi akifanananisha upara wake na wa Mgombea Ubunge wa Jimbo jipya
la Malinyi katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika Kata ya
Mtimbila Wilaya mpya ya Malinyi, Morogoro. Dk Magufuli alifanya pia
kampeni katika wilaya za Ulanga na Kilombero.
Mmoja wa wananchi akiwa na bango linalosema Mgombea Urais wa
Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli anasubiri kuapishwa tu katika
mkutano wa kampeni uliofanyika jana Mjini Ifakara, wilayani Kilombero,
Morogoro. Dk Magufuli alifanya pia kampeni katika wilaya za Ulanga na
Malinyi.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli
akikagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kilombero alipokuwa akitoka
kufanya kampeni katika Wilaya za Ulanga na Malinyi kwenda Mjini
Ifakara, wilayani Kilombero, Morogoro.
Mmoja wa wafuasi wa CCM akiwa na picha ya Dk Magufuli mjini Mahenge, wilayani Ulanga
Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba ya Dk Magufuli mjini Mahenge, Ulanga
Madiwani wakinadiwa na Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni mjini Mahenge jana
Dk Magufuli akiombewa na mmoja wa masheikh baada ya kumaliza kujinadi kwa wananchi mjini Mahenge Ulanga
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli
akimpatia zawadi mtoto alipokuwa akiondoka mjini Mahenge wilayani
Ulanga, baada ya kufanya mkutano wa kampeni.
Wananchi waliouzuia msafara wa Dk Magufuli katika Kijiji cha Ilagua Mission, Wilaya mpya ya Malinyi ukielekea Kata ya Mtimbila.
Moja ya mabango yaliyishikwa na wananchi katika mkutano wa kampeni katika Kata ya Mtimbila, wilayani Malinyi jana.
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Kata ya Mtimbila, wilayani Malinyi.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema wa Uratibu wa Msingi Wilaya ya
Ulanga, Evance Tagala akionesha kadi kabla ya kuikabidhi kwa Dk Magufuli
alipotangaza kukihama chama hicho na kujiunga na CCM wakati wa mkutano
huo wa kampeni katika Kata ya Mtimbila.
Wananchi wakimsikiliza Dk Magufuli alipokuwa akijinadi katika Kijiji cha Lupilo wilayani Ulanga.
Sehemu ya umati wa watu wakati wa kampeni CCM kwenye Uwanja wa
Taifa, Ifakara wilayani Kilombero, Morogoro , uliohutubiwa na Mgombea
urais wa CCM, Dk John Maguful
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee wa CCM, Abdalah Bulembo
akizungumza maneno ya kumnadi Dk Magufuli kabla ya kumkaribisha
kujinadi wakati wa mkutano wa kampeni mjini Ifaraka
Post a Comment Blogger Facebook