
Akizungumza na waandishi wa habari mmiliki wa mbuzi huyo Beatrice Karimi, amedai hali hiyo imezua tafrani kubwa kijijini hapo huku wengine wakihusisha na imani za kishirikina.
Kiongozi wa Ukoo huo Musa Murungi, amesema hii si mara ya kwanza kutokea kwenye Ukoo wao, akifafanua hali hii iliwahi kutokea miaka 20 iliyopita.
Chifu wa kijiji hicho na wazee wa familia, wameandaa tambiko kama sehemu ya mila zao ili kuzuia hali hii kutojirudia.
Post a Comment Blogger Facebook
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.