Kwa
taarifa zilizotufikia leo kutoka Mkoani Arusha zinasema kuwa aliyewahi
kuwa waziri wa mambo ya ndani Mh.Lawrence Masha kakihama Chama cha
Mapinduzi na kujiunga na CHADEMA leo.Pia Wanachama wa (CCM) na viongozi
ambao ni Daniel Porokwa aliyekuwa katibu wa CCM mkoani Manyara, Robinson
aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Arusha, aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa
Arusha, Goodluck Sipira aliyekuwa katibu wa CCM mkoani Arusha huyu
anatokea Longido, aliyewahi kuwa mgombea Ubunge kupitia CCM pale Arumeru Mashariki ndugu Sioi Sumari, Wazee
wa Kimila wa Kimasai pamoja na Wazee wa kimila wa Kimeru wote
wakiongozwa na Mshili Mkuu leo wamejiunga rasmi kwenye chama cha CHADEMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
';
(function() {
var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true;
dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js';
(document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq);
})();
.disqus.com/recent_comments_widget.js?num_items=4&avatar_size=32&excerpt_length=100&hide_mods=0">
Post a Comment Blogger Facebook