Mwigizaji wa filamu za Kibongo,Irene Uwoya apitishwa na Halmashauri Kuu
ya CCM (NEC )kuwa mbunge viti maalum vijana mkoa wa Tabora.
Wengine waliopitishwa ni namba 1. Halima Bulembo 2. Zainab Katimba 3. Mariam Ditopile 4. Mary Kangoye 5. Kizigo 6. Irene Uwoya.

Post a Comment Blogger Facebook