0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imesogeza mbele uandikishaji kwa BVR jijini Dar es salaam zoezi  lilikuwa lianze  tarehe 16/07/2015.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa  Tume Jaji Damiani Lubuva imebainisha kuwa  zoezi hilo limepelekwa mbele ili kutoa fulsa kwa wananchi kusherekea sikukuu ya Eid-El-Fitr ambayo ingefanyika wakati wa zoezi la uboreshaji wa daftari hilo.
Zoezi hilo sasa litaanza tarehe 22/07/2015 na kumalizika tarehe 3/08/2015.

Post a Comment Blogger

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();
 
Top